Mfumo wa Kasi & Uhakika wa Bulk SMS

Tuma Ujumbe wa SMS kwa Watu Wako Wengi Kwa Mara Moja

Jisajili, ingiza namba za watu wako (kwa mkono au kwa faili), pitia ujumbe wako na utume SMS kwa watu wengi kupitia Tegasms API - kwa haraka na kwa uhakika.

Vipengele Vya Mfumo Wetu

Kila kitu unachohitaji kufanikisha kampeni zako za SMS

Kuchambua Document Kiotomatiki

Pakia faili za CSV, TXT au TSV kisha mfumo utachambua, kusafisha na kubadilisha namba zote kuwa za kimataifa (255XXXXXXXXX) kiotomatiki.

Review SMS Kabla ya Kutuma

Mfumo unakuonyesha muhtasari kamili wa idadi ya namba sahihi, idadi ya SMS kwa kila mpokeaji, na jumla ya makisio ya gharama kabla ya kubonyeza Tuma.

Imewezeshwa na Tegasms API

API yenye kasi ya juu ya Tegasms inahakikisha ujumbe unawafikia walengwa papo hapo, pamoja na salio la SMS na ripoti za kila kampeni.

Jinsi Unavyotuma SMS

1

Jisajili / Ingia

Tengeneza akaunti yako kwa barua pepe na nenosiri.

2

Angalia salio

Salio la SMS credit linaonyeshwa moja kwa moja kwenye dashboard.

3

Weka namba

Andika namba zenyewe, pakia faili, au chagua kutoka kwenye contacts zako.

4

Tuma

Bonyeza Review, angalia muhtasari, kisha tuma.

Uko tayari kutuma SMS?

Tengeneza akaunti yako na uanze kutuma bulk SMS leo - bila ada ya kuanza.

Jisajili Bure